- 300 viewsDuration: 3:30Wizara ya Afya imetangaza msako kote nchini dhidi ya taasisi zote za umma ambazo hazijazingatia sheria inayohitaji kuanzishwa kwa vituo vya kulelea watoto wachanga kwa wafanyikazi wa kike. Katibu wa Afya ya Umma Mary Muthoni alisema ukosefu wa vituo hivyo maalum vya watoto kazini sasa umekuwa tatizo kuu linaloathiri utendakazi na kuathiri ukuaji wa watoto. Alisema hali hiyo imetokana na ongezeko la idadi ya watoto wanaotegemea kunyonyeshwa kwa njia ya chupa kutoka asilimia 22 hadi asilimia 34. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive