Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Elimu yapoteza Sh91 milioni, maafisa 76 kuadhibiwa kwa ripoti potofu za wanafunzi 900,000

  • | Citizen TV
    770 views
    Duration: 2:59
    Serikali inasema itawachukulia hatua walimu ambao walikosa kuweka wazi idadi ya wanafunzi shuleni mwao, ikibaini wanafunzi hewa laki tisa nchini. Wizara ya elimu na tume ya kuwaajiri walimu pamoja na afisi ya mkurugenzi wa idara ya upelelezi wameanza mchakato wa kuwaadhibu au kuwafungulia mashtaka maafisa wa elimu 62, wakiwemo walimu wakuu 14.