Wizara ya elimu yatangaza kutolewa kwa Ksh 13.5b ya kugharamia nyongeza za walimu Julai na Agosti

  • | Citizen TV
    1,261 views

    Haya yakijiri, serikali sasa imeonekana kulegeza kamba kuhusu mgomo wa waalimu kwa kutoa shllingi billioni 13.5 kufanikisha nyongeza ya mishahara. Waziri wa Elimu Julius Ogamba amesema kuwa kufikia Ijumaa, waalimu watakuwa wamepata nyongeza ya Julai na Agosti,