Wizara ya usalama imetengeza jop litakalotoa mikakati ya kukabiliana na ongezeko la visa vya usalama

  • | K24 Video
    97 views

    Wizara ya usalama imetengeza jopo maalum litakalotoa mikakati kabambe inayokusudiwa kukabiliana na ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika maeneo tofauti kote nchini. Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amesema serikali iko macho kukabiliana vikali na wahalifu huku inspekta generali wa polisi Japhet Koome akiwapa makataa ya mwezi mmoja wahalifu wote wasalimishe bunduki zao kwa polisi au waone cha mtema kuni.