Wizara ya usalama wa taifa imeorodheshwa kuwa wizara fisadi kabisa humu nchini

  • | KBC Video
    20 views

    Wizara ya usalama wa taifa imeorodheshwa kuwa wizara fisadi kabisa humu nchini kwa mujibu wa utafiti wa tume ya kupambana na ufisadi. Ripoti hiyo iliyotolewa leo ilidokeza kuwa Wakenya hulipa hongo ya shilingi elfu-11 ili kupata huduma katika wizara hiyo. Tume hiyo ilisema utafiti huo ulifanywa mwezi Disemba mwaka jana ukihusisha familia 5100 katika kaunti zote 47.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News