Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya utalii yapigia debe mbinu mpya ya kuboresha utalii nchini

  • | Citizen TV
    132 views
    Duration: 1:33
    Kama njia moja ya kuongeza idadi ya watalii kuzuru maeneo tofauti tofauti humu nchini, serikali inapigia debe mbinu mpya ya kuwapa nafasi wakenya wa umri mdogo kuzuru maeneo ya kuvutia ambayo hayajulikani sana.