Skip to main content
Skip to main content

Wizi wa mifugo wakithiri Laikipia Kaskazini

  • | Citizen TV
    334 views
    Duration: 2:11
    Viongozi wanawake kutoka Laikipia wameishtumu serikali kwa kujikokota kurejesha usalama kwenye maeneo ya Laikipia kaskazini yalioathirika na visa vya mashambulizi ya wezi wa mifugo. Wakiongea kwenye eneo La Kimugandura ambako zaidi ya familia 100 zimekimbilia usalama wazo, mbunge wa eneo hili Sara Korere na mwakilishi wa kike wa laikipia Jane Kagiri wameitaka serikali kufanya operesheni ya kuwapokonya wezi Hawa bunduki haramu kwenye msitu wa Mukogodo.