- 24,211 viewsDuration: 2:06Imebainika kuwa daktari Deniss Masomba Nyambane anayedaiwa kumdunga kisu mkewe Mary Mwende siku chache zilizopita, alikuwa akikabiliwa na hali ngumu nyumbani Mwake. Kwa mujibu wa wafanyakazi wenza, daktari huyo alikuwa amelalamikia mateso ya mkewe na hata kuandikisha ripoti kabla ya kutekeleza mauaji hayo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya