- 21,496 viewsDuration: 2:39Nchi hizi zimetangaza kufikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita kati yao. Maafisa kutoka pande zote mbili walisema wamekubaliana juu ya mfumo wa makubaliano ambao pia unajumuisha kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu inayopitisha sehemu kubwa ya mafuta ya duniani. #bbcswahili #makubalianoyaamani #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw