9 Jan 2026 7:43 pm | Citizen TV 956 views Duration: 1:32 Baraza la madaktari nchini limefunga kliniki tatu bandia mtaani Kawangware, siku moja baada ya ufichuzi wa muhudumu wa afya aliyemng'oa meno mgonjwa bila utaalam