Zaidi ya familia 600 zaachwa bila makao baada ya mto Nyando kuvunja kingo

  • | Citizen TV
    6,057 views

    Mafuriko Yafunika Nyando Zaidi Ya Familia 600 Zimeathirika Na Mafuriko Haya Mafuriko Yazidi Baada Ya Mto Nyando Kuvunja Kingo Shughuli Za Kuwaokoa Waathiriwa Zimeendelea Leo Baadhi Ya Wakaazi Wanashikilia Hawatahama Kwao Zaidi Ya Ekari 800 Za Mchele Zimeathirika Na Mafuriko