Zaidi ya miili 10 yapatikana imekatwa katwa vipande katika timbo ya Mukuru kwa Njenga

  • | K24 Video
    447 views

    Zaidi ya miili 10 ya vijana wengi wao wa kike imepatikana imekatwa katwa vipande na kuwekwa katika mifuko ya plastiki na magunia katika timbo ya Mukuru kwa Njenga, jijini Nairobi. Usiku huu uchunguzi wa mauaji hayo umeanzishwa huku wakaazi wa kwa Mukuru kwa Njenga wakihofia kuwa mauaji yalitekelezwa kwingine na miili kutupwa timboni