Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya miradi 20 ya maendeleo inaanza Nairobi; Gavana Sakaja asema itakamilika hivi karibuni

  • | TV 47
    157 views
    Duration: 1:39
    Zaidi ya miradi 20 inaendelea katika vituo mbalimbali vya biashara. Mitaa kama Industrial Area, Embakasi, Parklands na Lang’ata imehusishwa. Gavana Sakaja amesema miradi hiyo itakamilika hivi karibuni. Wakazi wa maeneo husika wametoa maoni kuhusu miradi hii. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __