Zaidi ya nyumba 100 zapata umeme katika kijiji cha Kaputir Junction, Turkana Kusini

  • | Citizen TV
    130 views

    Zaidi ya vyumba mia moja katika kijiji cha Kaputir Junction eneo bunge la Turkana Kusini, zimenufaika baada ya kuunganishiwa umeme kwa mara kwanza tangu kenya ijinyakulie uhuru.