Zaidi ya Nyumba elfu moja zimepokezwa wakazi wa Mukuru

  • | Citizen TV
    18,257 views

    Rais William Ruto leo ametoa zaidi ya nyumba elfu moja mpya kwa wakaazi wa mtaa wa Mukuru Kaunti ya Nairobi. Nyumba hizo zimejengwa chini ya mpango wa nyumba za nafuu za serikali, kwenye hatua ambayo Rais Ruto ameitaja kuwa ya kihistoria.