7 Oct 2025 10:52 am | Citizen TV 435 views Duration: 1:18 Zaidi ya vijana 2000 kutoka kaunti ya Mandera wanatarajiwa kufaidi kwenye mpango wa serikali wa NYOTA ambao unakusudia kuimarisha maisha ya vijana hao kiuchumi.