Zaidi ya wabunge 26 wataka kaunti kumi na moja zaidi ziongezwe kwa idadi iliyoko sasa

  • | K24 Video
    30 views

    Zaidi ya wabunge 26 kutoka pande zote za siasa wamewasilisha ilani kwa kamati ya mazungumzo ya Bomas baina ya serikali na upinzani wakitaka kaunti kumi na moja zaidi ziongezwe kwa idadi iliyoko sasa. Kundi hilo la wabunge limesema hatua hiyo haitahitaji kura ya maoni bali tume ya uchaguzi IEBC ichukue jukumu hilo