Zaidi ya wakazi elfu saba kufaidika na mradi wa maji huko Mwingi

  • | Citizen TV
    455 views

    Zaidi ya wakazi elfu saba wa eneo bunge la Mwingi ya kati watafaidika na mradi wa maji wa Mwania Maongoa,ambao unaendelezwa na serikali kuu kupitia mamlaka ya kupambana na ukame (NDMA).