Zaidi ya watahiniwa 900,000 wanafanya mitihani wa KCSE kuanzia leo

  • | Citizen TV
    399 views

    Mitihani ya kitaifa ya KCSE imeanza rasmi hii leo kote nchini. Maafisa wa mitihani wamewasili mapema katika vituo mbalimbali vya kusambaza karatasi za mitiihani. Katibu wa elimu Belio Kipsang aliongoza zoezi hilo katika kituo cha Westlands hapa Nairobi, huku afisa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia akiongoza zoezi hili eneo la Mvita, kaunti ya Mombasa. Zaidi ya wanafunzi laki tisa wanafanya mitihani hii ya kitaifa kote nchini. Macharia ametoa hakikisho kuwa mitihani hiyo itafanyika kama ilivyopangwa