Zaidi ya watu 500 wauawa kutokana na vita inayoendelea nchini Sudan

  • | Citizen TV
    1,059 views

    Shirika la umoja wa maitaifa limesema mapigano yanayoendelea nchini Sudan yanasababisha maafa ya viwango vinavyoshangaza huku zaidi ya watu 500 wakipoteza maisha yao na wengine zaidi ya elfu 4 wakijeruhiwa.