Zaidi ya watu mia tatu waliohusika na maandamano yaliyosababisha uharibifu wa mali wakamatwa

  • | K24 Video
    89 views

    Zaidi ya watu mia tatu waliohusika na maandamano yaliyosababisha uharibifu wa mali wamekamatwa akiwemo mbunge. Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ambaye amesema kuwa waliokamatwa watashtakiwa kwa kuhusika na makosa tofauti ya jinai