24 Apr 2026 1:07 pm | Citizen TV 4,350 views Duration: 1:26 Ziara ya Rais William Ruto katika Kaunti ya Murang’a imesifiwa kwa kuchochea kazi ya miradi muhimu ya maendeleo, huku viongozi wakiihusisha na mwelekeo mpya wa maendeleo yanayoendelea na yanayotarajiwa.