2 Oct 2025 1:47 pm | Citizen TV 2,591 views Duration: 1:50 Idara ya Huduma kwa Polisi inatarajia kuanza zoezi la kuajiri maafisa wapya wa polisi Ijumaa tarehe 3 Oktoba, ikilenga kusajili askari wapya 10,000 kote nchini