- 622 viewsDuration: 2:55Maelfu ya wakazi wa Kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet ambao wamekosa vitambulisho vya kitaifa kwa muda mrefu sasa wanaweza kupata stakabadhi hiyo baada ya Uzinduzi wa zoezi la Usajili mashinani, ambao umeanza rasmi hii leo.