Skip to main content
Skip to main content

Zogo la ajira Saudia

  • | Citizen TV
    7,991 views
    Duration: 2:53
    Familia moja eneo la Kitutu Chache kaunti ya Kisii yaitaka serikali kumuokoa jamaa yao aliyekwama nchini Saudi Arabia kutokana na mgogoro wa ajira. Familia hii yadai kuwa, kijana wao wa miaka 33 afungiwa kwa mwezi wa tatu sasa bila hata chakula na mwajiri wake wa zamani jijini Riyadh baada ya kutaka kuhamia kwa mwajiri mwingine. Familia ya kijana huyo Justin Mogendi yasema yatakiwa kulipa shilingi laki nane ili jamaa yao aachiliwe huru.