- 63 viewsMbali ya Habari za Hollywood, Zulia Jekundu pia linaangazia kukamilika kwa mwezi wa historia ya watu weusi nchini Marekani na miongoni mwa sherehe za kitaifa zilikuwa mapokezi ya White House na Rais Donald Trump. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU: Halle Barry akerwa kuwa msanii pekee mweusi wa kike kushinda Oscar mpaka sasa.
- 16 Jun 2025 - The suspects — Gin Ammitou Abwao, Collins Karani Ireri, and Brian Mwaniki Njue — were detainees at Nairobi’s Central Police Station at the time Ojwang’ was held there. Authorities allege the three were used by police officers to torture Ojwang’, leading…
- 16 Jun 2025 - The company at the centre of the storm is Pro Line Travel Advisors Limited, which promised lucrative job placements in countries such as Canada and Sweden. Instead, victims allege they were handed fake documents, empty promises, and, in some cases, not…
- 16 Jun 2025 - The Quality Healthcare and Patient Safety Bill, which is now open for public participation, seeks to overhaul regulation of healthcare delivery in Kenya by enforcing uniform standards, strengthening patient rights, and ensuring accountability across…
- 16 Jun 2025 - Speaking during a church fundraiser in Kisumu County, Governor Wanga — who also serves as the ODM National Chairperson — described Ojwang’s death as “an outrage” and a setback to the broad-based government’s pledge to end extrajudicial killings.
- 15 Jun 2025 - In a statement posted on his official X account on Sunday, Kindiki acknowledged Kalonzo's decision to decline his invitation to work with the government, saying he respected it—but issued a stern warning against what he called "unprovoked falsehoods."
- 15 Jun 2025 - The deceased, identified as Calvince Omondi Onditi, was apprehended by the area chief at around 3 a.m. on Sunday after reportedly being found in a goat pen in a homestead near Ndhuru Trading Centre.
- 15 Jun 2025 - The President said the government, in partnship with the World Bank, will provide KSh50,000 to 70 small business owners - a total of KSh3.5 million - in each of the country’s 1,450 wards.
- 15 Jun 2025 - Speaking on Sunday during a Church Service at AIC Nairagie Enkare in Narok East, Narok County, the DP encouraged citizens to be patriotic and peacefully co-exist for the nation to prosper.
- 15 Jun 2025 - NA Speaker Wetang'ula says a decision by China to declare duty and quoter free on all food imports from Kenya would spur economic growth.
- 15 Jun 2025 - National Assembly Speaker Moses Wetang’ula says a decision by China to declare duty and quoter free on all food imports from Kenya would spur economic growth. Speaking in Kakamega County Wetang’ula said the move is extremely beneficial to our country’s…