
701 views
Watu sita wafariki katika ajali ya lori Narok-Nakuru
Watu sita wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea mapema leo kwenye barabara kuu ya Narok-Nakuru. Ajali hiyo ilitokea baada ya lori walimokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kugonga kizuizi cha usalama barabarani. Watu wengine watano wanauguza majeraha hospitalini. Bonface Barasa anaeleza zaidi.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa