
8,149 views
Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
Katika nchi ambamo ukosefu wa ajira umekuwa changamoto kwa vijana na hata waliohitimu kwa kozi mbalimbali, wengi wamejikuta wakisubiri fursa ambazo huenda zisijitokeze. Lakini kwa wengine, matumaini yamechipuka katika maeneo yasiyotarajiwa. Kando ya barabara ya Kangundo, mwanamke mmoja amegeuza kipande cha ardhi kilichokuwa wazi kuwa chanzo cha riziki.
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena