
1,793 views
Mackenzie anakabiliwa na kesi sita zaidi
Mambo bado kwa mhukumiwa wa mauaji ya halaiki Paul Mackenzie. Ofisi ya mashtaka ya umma inanoa makali kwa kesi zingine sita zinazomkabili mhubiri huyo tata aliyekuhukiwa miaka 200 jela. Mackenzie na washirika wake wanasubiri hukumu katika mahakama mbalimbali kuhusiana na visa vya mauaji ya kwa binzaro, ukatili dhidi ya watoto, ugaidi na kuua bila kukusudia. Brenda wanga anaangazia msururu wa kesi na huku zinazowakodolea macho mackenzie na wenzake.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa