
1,005 views
Maisha yarejea kawaida Eastleigh
Uchunguzi wa hivi punde kuhusiana na mporomoko wa jumba la ghorofa 18 katika mtaa wa Eastleigh umebaini kuwa huenda ujenzi uliendelea bila mhandisi kuhakikisha unaendelea inavyofaa. Hii ni baada ya mhandisi aliyetajwa na mamlaka ya kudhibiti ujenzi (NCA) kuwaeleza wapelelezi kuwa alijiiondoa kwenye mradi huo miaka miwili iliyopita. Gatete njoroge alirejea katika eneo hilo na kuzungumza na wafanyibiashara ambao wanarejelea shughuli zao siku 16 baadaye.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa