
575 views
Maafisa wa GSU waondoka Soko la Masinde Muliro baada ya mvutano
Hatimaye maafisa wa kikosi cha kupambana na ghasia waliokuwa wamekita kambi nje ya Soko la Masinde Muliro mjini Kitale wameondoka. Maafisa hao wamekuwa wakilinda soko hilo kufuatia mvutano kati ya serikali kuu na ile ya Kaunti ya Trans Nzoia, hali iliyositisha shughuli za kibiashara katika soko hilo kwa mwezi mzima. Na kama anavyoarifu Collins Shityabai, wafanyabiashara wamefanya maombi ya amani nje ya soko hilo wakitarajia kurejelea shughuli zao.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo