
639 views
Rais Ruto arai jamii ya Maa kuwapuuza upinzani
Rais William Ruto ameirai jamii ya maa kuwapuuza viongozi wa upinzani akisema wana maono finyu ambayo hayawezi kulisaidia taifa. Aidha rais ameratibu miradi ambayo anasema serikali imetekeleza au kuanzisha kwa manufaa ya jamii hiyo. Akizungumza katika kilele cha sherehe za utamaduni wa maa, Rais Ruto ameitaka jamii hiyo kumuunga mkono akisema ndiye atakayeendeleza maendeleo.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa