
1,927 views
Upinzani waapa kumng'oa Ruto madarakani 2027
Viongozi wa upinzani wameendeleza siasa za kuukosoa utawala wa Rais William Ruto wakisema wako tayari kumbandua kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza kaunti ya Kisii na Nyamira, viongozi hao Fred Matiang'i, Martha Karua, James Orengo na Ndindi Nyoro wamewataka Wakenya kutomuunga mkono Rais Ruto. Kwingineko akiwa eneo la Mwingi, Kalonzo Musyoka wa Wiper amesema katu hataungana na Rais Ruto kwa vyovyote. Chrispine Otieno na mengi zaidi....
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo