
1,463 views
Mwalimu wa KCSE adaiwa kushambuliwa na wanafunzi Kwale
Mwalimu mmoja aliyekuwa akisimamia mtihani wa KCSE katika shule moja ya upili kaunti ya Kwale anauguza majeraha baada ya kudaiwa kutekwa nyara na kujeruhiwa na wanafunzi. Inaarifiwa kuwa mwalimu huyo Julius Ndurya alishambuliwa na wanafunzi hao wa kidato cha nne eneo la Kinango kwa kile anasema ni kutaka kushiriki udanganyifu wa mitihani hiyo inayoendelea. Maafisa wakuu wa elimu eneo la Kinango wanasema wanachunguza tukio hilo. Lawrence Ng’ang’a anaarifu zaidi kutoka Kwale.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo