
1,284 views
Ivory Coast yaondoa kiingilio kwa mechi dhidi ya Kenya
Shirikisho la kandanda nchini Ivory Coast limetangaza kuwa mashabiki hawatatozwa ada yoyote katika mechi ya leo usiku dhidi ya Emerging Stars ya Kenya. Kenya inaongoza kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa Nairobi wiki moja iliyopita. Kocha wa Ivory Coast aliwaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani nchini humo, na kisha shirikisho likatangaza kiingilio ni bure. Hata hivyo kocha wa Kenya Anthony Kimani anasema vijana wake wamejipanga vilivyo kukabiliana na Ivory Coast ambao wanahitaji ushindi wa bao 1-0 ili kufuzu ilhali Kenya inahitaji sare yoyote.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa