
671 views
Mafuriko Tana River yaua mtoto wa miaka saba
Msichana wa miaka saba ameaga dunia kutokana na mafuriko katika Eneo la madogo kaunti ya Tana River. AIDHA wakazi wa eneo la Boji wanahofia maafa zaidi kufuatia mvua inayonyesha katika eneo hilo, baadhi yao wakiwa tayari wamepoteza sehemu kubwa ya ardhi yao..Na kama anavyoarifu Feisal Abdirahman baadhi ya familia zilizoathirika zinakosoa serikali ya kaunti kwa kuchelewa kuchukua hatua za kukabiliana na hali hiyo.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa