
1,356 views
ODM yataka Ruto kutimiza masharti ya mkataba wa UDA
Chama cha ODM sasa kinasema kuwa sharti rais William Ruto atimize kikamilifu masharti makali yaliyoko kwenye mkataba wake na UDA kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Viongozi hao wa chungwa wamesema lazima mkataba wao utoa nafasi sawa kwa ODM kutokana na ubabe wake wa kisiasa na ueleze wazi kuhusu jinsi watakavyobuni serikali kwa pamoja . Bonface Barasa anaarifu zaidi.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa