
391 views
Vifo vya mapigano ya jamii Garissa na Isiolo vyafikia tisa
Idadi ya waliofariki katika mapigano ya jamii kwenye mpaka wa kaunti za Garissa na Isiolo imeongezeka hadi tisa, baada ya watu wengine watatu kuuawa Jumanne jioni. Miongoni mwa waliouawa ni mtoto mchanga wa siku 18. Shambulizi hilo la kulipiza kisasi lilitokea kufuatia kuuawa kwa mfugaji mmoja kwenye mzozo wa malisho katika mapigano yaliyodumu siku mbili. Zaidi ya mifugo elfu kumi iliibiwa na wavamizi hao.
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC