
966 views
Citizen TV yatambuliwa miongoni mwa chapa bora nchini
Runinga ya Citizen imetambuliwa miongoni mwa chapa bora zaidi katika hafla iliyofanyika kwenye makao makuu ya kampuni ya Royal Media Services jijini Nairobi. Kutambuliwa kwa runinga ya Citizen kumeimarisha nafasi yake kama runinga inayoaminika na kuenziwa zaidi nchini Kenya. Tuzo hilo linatokana na maoni ya watazamaji ambao wamesifia ubora wa taarifa na vipindi vya Citizen TV.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo