
5,712 views
Murkomen awaonya wapinzani dhidi ya kuzua fujo nchini
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kuchochea fujo nchini. Akirejelea kauli ya kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, ya kupanga maandamano dhidi ya IEBC, Murkomen amewataka wapinzani kutoingilia shughuli za tume hiyo. Aidha, amepuuzilia mbali shinikizo la upinzani la kutaka kufutwa kwa kituo cha kitaifa cha kujumlisha kura za urais. Murkomen amewahakikishia Wakenya kuwa uchaguzi ujao utaakisi uamuzi wa wananchi.
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo
- Viongozi wa Kenya Kwanza Kitui washutumu upinzani kwa kuingilia uhuru wa IEBC
- Familia yaanzisha kilimo kando ya barabara Kangundo
- Wazazi Turbo wafurahia kufunguliwa tena kwa ufadhili wa basari za kaunti
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua shule mpya ya msingi Nalepo Mama Helena
- Viongozi Busia waonya kuhusu ongezeko la watoto wanaotelekezwa na wazazi
- Wagonjwa wa kifafa waitaka serikali kupunguza gharama ya dawa