
1,036 views
Taarifa ya muungano wa wananchi wa mageuzi ya uchaguzi
Muungano wa Wananchi wa Mageuzi ya Uchaguzi unaoongozwa na jaji mkuu mstaafu David Maraga na viongozi wengine wa vyama vya upinzani unatoa taarifa kuhusu Uadilifu wa uchaguzi na mageuzi ya uchaguzi, pamoja na majibu juu ya matamshi ya makamishna wa iebc hasa kuhusu suala la kupeperusha matokeo ya uchaguzi wa urais mubashara..
- Jukwaa la Afya: Aya ya mama na mtoto [Part 2]
- Jukwaa la Afya: Aya ya mama na mtoto
- Polisi Mtwapa kaunti ya Kilifi wanasa kilo 315 za bangi zenye thamani ya Sh milioni 10
- Vijana pwani wahimizwa kujiandikisha kuwa wapiga kura
- Kiongozi wa Kenya Moja Movement Askofu Margaret Wanjiru ajitosa rasmi kuwania ugavana Nairobi
- Bunge la Kajiado lapanga kuwawezesha vijana na kuongeza uwazi katika miradi ya kaunti
- Viongozi wa wakulima wa miraa Meru wamtaka Ruto asaidie kubadili sheria ya miraa
- Makasisi kuanti ya Uasin Gishu walalamikia uraibu wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana