
902 views
Mwenyekiti IEBC Erastus Ethekon ataka vyama kuzingatia kanuni za uchaguzi mkuu wa 2027
Mwenekiti wa IEBC Erastus Ethekon amevitaka vyama vya kisiasa kuzingatia kanuni za uchaguzi na kushirikiana na tume hiyo ili kufanikisha mchakato wa uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kwenye kikao na viongozi wa vyama vya kisiasa hapa jijini Nairobi, Ethekon amesema kuwa tume hiyo itachapisha sajili ya wapigakura mwezi Desemba ili kuweka wazi sajili hiyo kwa wakenya. Kadhalika iebc itaandaa awamu nyingine ya usajili wa wapigakura januari na februari mwakani.
- Wakazi eneo la Magwagwa kaunti ya Nyamira walalamikia ukosefu wa umeme
- Rais Ruto akutana na Rais wa Ujerumani kujadili ushirikiano wa kibiashara
- Linda Mwananchi Party Leader Edwin Sifuna engages Kenyans in the diaspora in Maryland, USA
- Chama cha ODM chapokea wanachama wapya
- Taarifa ya muungano wa wananchi wa mageuzi ya uchaguzi
- Jukwaa la Afya: Aya ya mama na mtoto [Part 2]
- Jukwaa la Afya: Aya ya mama na mtoto
- Polisi Mtwapa kaunti ya Kilifi wanasa kilo 315 za bangi zenye thamani ya Sh milioni 10