
24 views
Viongozi wakuu katika ODM wasema ushirikiano wao na UDA utaendelea
Viongozi wakuu katika chama cha ODM wamesema kuwa ushirikiano wao na chama tawala cha UDA utaendelea, wakiongeza kuwa kuna mazungumzo ambayo yamefanywa ya ndani kwa ndani ya chama cha ODM kuhusu muundo wa chama na kuhakikisha kuwa chama kinabaki imara. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
- Kamera za CCTV zamnasa mbunge akichukua simu ya mwenzake na kuiweka mfukoni katika jengo la Bunge
- Kenya, Ujerumani zatia saini hati ya makubaliano kuwezesha Wakenya kupata ajira nchini Ujerumani
- Viongozi wa upinzani wasusia mkutano wa pili uliopangwa kufanyika leo kati yao na IEBC
- Mahakama ya watoto ya Tononoka yampata Mhubiri Paul Mackenzie na hatia ya ukatili dhidi ya watoto
- Wataalamu waonya kuhusu ongezeko la matatizo ya afya ya akili miongoni mwa Wakenya
- Ufugaji wa samaki kwa mfumo wa vizimba wawanufaisha wavuvi na wakazi wa Budalang’i
- Wavuvi 15,000 wa Ziwa Victoria kunufaika na mafunzo ya usalama na uendeshaji wa boti za kisasa
- Wakazi walalamikia hali mbaya ya barabara ya Ndumberi-Kanunga-Turitu kaunti ya Kiambu