
449 views
Uebert Angel afikishwa mahakamani
Mchungaji wa Zimbabwe, Prophet Uebert Angel, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Harare Novemba 24, 2026, siku mbili baada ya kukamatwa akiwa anaendesha ibada kanisani kwake. Wakili wake amethibitisha kuwa anakabiliwa na shtaka moja rasmi la unyanyasaji wa kingono na amesisitiza kuwa tuhuma za ulawiti zilizotajwa awali na polisi hazipo katika shtaka alilosomewa mahakamani. Upande wa Jamhuri umepinga dhamana ukidai anaweza kutoroka nchi @frankmavura anaelezea zaidi #bbcswahili #uebertangel #zimbabwe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Wezi wavunja makontena ya treni zinazotembea na kupora mizigo
- Uislamu kuupiku Ukristo na kuwa dini yenye waumini wengi 2035
- Wafanyakazi wamshangilia Jensen Huang baada ya kurejea kazini
- Mchungaji Chris: Vita dhidi ya chanjo
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 24' 2026
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI