
140 views
Wezi wavunja makontena ya treni zinazotembea na kupora mizigo
Tazama wezi hawa wakiwa na vifaa vya kukatia vyuma nchini Marekani wakivunja makontena ya treni zilizokuwa zikisafiri na kuiba bidhaa Bidhaa zilizoibwa zina thamani ya zaidi ya dola milioni 22, zikiwemo viatu vya Nike na vifaa vya kazi vya Milwaukee. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka, bidhaa hizo ziliuzwa katika soko haramu huku mipango ya wizi ikiratibiwa kupitia Instagram. Watu 14 wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na wizi wa mizigo katika treni 36. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka baadhi ya washukiwa walikuwa wakijirekodi wenyewe wakati wa kufanya wizi huo. #BBCSwahili #Marekani #wiziwatreni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Uislamu kuupiku Ukristo na kuwa dini yenye waumini wengi 2035
- Wafanyakazi wamshangilia Jensen Huang baada ya kurejea kazini
- Mchungaji Chris: Vita dhidi ya chanjo
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 24' 2026
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba