
173 views
Mchungaji Chris: Vita dhidi ya chanjo
Mchungaji Chris, mhubiri maarufu wa televisheni nchini Nigeria, amekuwa akiwaambia mamilioni ya wafuasi wake kuwa chanjo ya malaria haifanyi kazi, licha ya madai hayo kutokuwa na ukweli Malaria huua mamia ya maelfu ya watoto barani Afrika kila mwaka, huku chanjo mpya dhidi ya ugonjwa huo ikiendelea kuokoa maisha. Katika uchunguzi wa BBC Africa Eye na Thomson Reuters Foundation wamezungumza na watu waliowahi kufanya kazi ndani ya kanisa lake pamoja na wataalamu ili kubaini jinsi anavyosambaza taarifa potofu kupitia mahubiri na mitandao ya kijamii na madhara ambayo taarifa hizo zinaweza kusababisha #Nigeria #BBCAfricaEye #BBBSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 24' 2026
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026