
1,373 views
Simu ya Sabina Chege yaibua mjadala mkali Bungeni
Mjadala mkali umeibuka katika Bunge la Taifa kuhusu madai ya kuibwa kwa simu ya Mbunge Maalum Sabina Chege. Chege anadai kuwa simu yake iliibwa tarehe 8 Juni 2023 wakati wa kizaazaa kuhusu uongozi wa upande wa walio wengi. Mtu anayedaiwa kuchukua simu hiyo alinakiliwa na kamera za CCTV. Spika wa Bunge la Taifa, Moses Wetang’ula, ameagiza kamati maalum kuchunguza picha hizo na kuwasilisha ripoti kamili, kwa kuwa simu hiyo haikurejeshwa.
- Kilimo biashara: Mbegu zinazostahimili ukame zawapa wakulima matumaini ya mavuno bora
- Ikulu yaomba Sh8.4 bilioni zaidi kwa miradi ya ukarabati
- Vyama vya kisiasa vyamkemea Gachagua kwa kudharau vyama vingine
- How to pay for Citizen TV, iNooro TV and Ramogi TV Youtube packages!
- Babu Owino in court demanding release of Nairobi man ‘Zizzou’ allegedly abducted by police
- Mwala MP Vincent Kawaya accuses Gachagua of making unsubstantiated claims
- Speaker Wetangula to release CCTV footage showing MP who picked Sabina Chege's phone in Parliament
- Clinical officers issue seven-day strike ultimatum