
2,339 views
Umaskini wachochea mimba za utotoni na ndoa za mapema Igembe South, Meru
Ndoa za utotoni zimeendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini huku wasiwasi ukiibuka zaidi kuhusu viwango vya wasichana wadogo wanaokuwa mama mapema katika kaunti ya Meru. Katika eneo la Igembe South, mimba za utotoni zimekuwa kama urithi kwa baadhi ya familia, huku umaskini ukitajwa kuwa sababu kuu. Takwimu za punde za afya zikionyesha kuwa, kati ya watu kumi wajawazito katika eneo hilo, watatu ni watoto kwenye hali ambayo imechangia wasichana wengi kuanza ulevi mapema na wengine wakiitwa nyanya.
- Sunday live news: Sports - 29NOV 2026
- SUNDAY LIVE NEWS - 29N0V 2026 [Part 2]
- Sunday live: Migration season begins [part 1]
- Kalonzo pledges to recover stolen public funds if elected the President
- President Ruto challenges opposition to name 2027 presidential contender
- Rigathi Gachagua asema Mlima Kenya umeachana na Ruto na hakuna msamaha utakaobadili msimamo huo
- Gachagua: we will not give up until Kenya is liberated and restored to Kibaki-Era Standards
- Sifuna thanks Kenyans in Dallas for warm reception of Linda Mwananchi team