
7,196 views
Gachagua asema upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais 2027
Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesisitiza kuwa muungano wa upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais atakayekabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza wakati wa ziara yake eneo la Kangemi, Nairobi, Gachagua amesema Rais Ruto ameshindwa kutekeleza majukumu yake na anafaa kuondolewa mamlakani.
- CITIZEN WEEKEND NEWS ~ NOVEMBER 28, 2026
- FKF and footballers’ association sign deal to strengthen player welfare
- Employers begin implementing Breastfeeding Mothers Act
- Church leaders oppose proposed consent rules for livestreaming services
- Sifuna urges opposition to decisively defeat Ruto in 2027 elections
- Mawaidha na bi msafwari: Ni nini unachofanya leo ili siku ukifa mume wako asitafte mke mwingine?
- Harambee Starlets yaanza maandalizi ya mechi za kirafiki dhidi ya Tanzania
- Ukeketaji wavuka mipaka na kutishia juhudi za kutokomeza mila hiyo