
12,452 views
Mradi wa Elon Musk wa satelaiti milioni moja: Unahusu nini?
Kampuni ya teknolojia ya anga ya SpaceX, inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, imepata kibali cha serikali ya Marekani kuzindua satelaiti milioni moja angani kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi na kuchakata data vitakavyotumika kuendesha teknolojia ya akili mnemba (AI). Kwa nini Musk anataka kujenga vituo vya data angani? na Kwa nini mradi huo unapingwa? #bbcswahili #elonmusk #spaceX Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Kwanini sayari ya zebaki ina barafu ilhali ipo karibu na jua?
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Uislamu wazidi kukua kwa kasi dhidi ya ukristo
- Tazama lori likipoteza mwelekeo
- Mwanaume na mbwa wake wasombwa na mawimbi makali ya bahari
- Viongozi waliobadili katiba kubaki madarakani.
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 27' 2026
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV